Nimekuwa nikijifunza kupitia maisha yangu binafsi, maisha ya wengine hasa walifanikiwa kwenye kutimiza malengo na makusudi ya kuishi kwao duniani hapa.
Maisha yetu yanahitaji uthubutu ili kuweza kuona mambo yanatokea waziwazi, pasipokufanya maamzi mazito na magumu ni ngumu sana pia kuona ukiishi kwenye malengo na matamanio ya ndoto zako.
Iko nguvu ya ajabu na maana sana imbayo humsukuma mtu toka ndani inayompa courage na kumwonyesha kuwa inaweza, laminitis mara inapofikia kwenye hatua yakufanya maamzi mazingira huonyesha impossibility kubwa na kutengeneza hofu na wasiwasi wa kupoteza kuliko kupata na kufanikiwa.
Kufeli kwangu sio ukosefu wa mtaji bali namna gani naweza kuchukua hatua ya uthubutu katika kile nakiona katika ule uhalisia wa ndani.
Ni kweli maisha ni magumu sana laminitis maisha hayo hayawezi kuwa rahisi kwa kufanya vitu rahisi bali unapaswa kufanya maamzi magumu ya uthubutu ili kujenga misuri na stamina ya kukabili hali yoyote ile ya kimazingira.
Wakati Isaya anatabili kuzaliwa kwa Yohana ambae alienda nyikani, hakuna mtu a angeweza kumwelewa kabisa, ni namna gani mtu aweza kuwa na akili timamu kwenda kuanzisha jambo nyikani. Sio rahisi hata kimono.
Lakini Yohana aliona fursa nyikani akathubutu haikuwa rahisi lakini alifanikiwa kwa sababu ile nguvu ya ndani aliweza kuitii na kufanya hatua ya uthubutu, kwa sababu alijua nini anafanya aliyabadili yale mazingira yakawa uhitaji wa watu, nyika ikawa mahali pakukimbilia.
Yesu alikabiliana na mazingira magumu sana yakutimiza kusudi la uwepo wake duniani, lakini pamoja na ugumu alioupitia, ila ile nguvu ndani yake aliiaply vyema katika mate do, akathubutu na kuonyesha matokeo makubwa duniani mpaka akatimiza lengo lake duniani.
Nguvu ya uthubutu huleta matokeo makubwa, uoga, na kuzingirwa na mazingira ya hofu ya kupoteza imetusababishia watu wengi kuishi maisha yasiofaa sana, kumbe ni kwamba maisha yetu hayajengwe kwenye missing bora na imara yakuchukua hatua ya uthubutu.
Nilichojifunza ni kwamba vitu bora having kwa wepesi bali kwa nguvu na jitihada za maana sana, hakuna njia rahisi inaweza kukupa mafanikio, bali jitihada na marina mengi huleta matokeo chanya na halls.
Dunia ya Leo inatekwa na watu Wallace waliokubali kuwa watubwa Leo, ili kesho ya iwe bora, uthubutu na uchukuaji wa hatua ni silva kubwa bora kwa ajili ya matokeo chanya katika maisha yetu.
Hakuna utajiri katika maisha ya relaxation, hakuna mafanikio kwenye vitu vipyesi, achievers are hustlers, hawakati tamaa hawaoni kushindwa as long wako na afya wanaamini mafanikio ni haki ya.
Hivyo tukiwa kwenye mwanzo wa mwaka ni vyema kuhakikisha malengo na mipango uliyoweka inakwenda kwenye mpangilio sawa, shindwa jambo kwa nje ya sababu zilizo nje ya uwezo wako make it.......
Usikubali uwe mtumwa wa wengine wakati you can be you and see a very big result kwenye maisha yako
Ipe nafasi nguvu ya ndani na ile mipango kichwani inakuwa na matokeo chanya katika maisha halisi ya nje.
Don't be a slave in 2022
By Moses Mgema
Mgemamoses@gmail.com
No comments:
Post a Comment