Andre Onana ni nani?
Andre Onana anatokea wapi, kwa nini amejizolea umaarufu kwa kasi hivi ukilinganisha na miaka miwili mitatu nyuma ?
Andre Onana kwa kifupi kabisa ni mmoja kati ya Magolikipa mahili sana katika soka la kisasa, Ni ajabu sana kumkuta GK wa Kiafrika akiwa kwenye lango la Team kubwa barani Ulaya lakini yeye amekuwa miongoni mwa hao wachache waliovunja record hiyo tena akiwa na man utd iliyokuwa na David De Gea kwa misimu 12 iliyopita
No comments:
Post a Comment