Sunday, March 31, 2024

IBADA YA PASAKA JUMAPILI TAR 31/03/2024 TAG BETHEL ARUSHA TANZANIA

MH: EMMANUEL MBILINYI

SOMO: WATU WAMJUAO MUNGU WAO.
 
》Daniel 11:32
Kiini cha somo: kipaumbele cha kumjua Mungu kibinafsi
》Yohana 17:3
■And this is eternal life: to have knowledge of you, the only true God, and of him whom you have sent, even Jesus Christ.
◇Kiwango cha maisha unayoishi leo ina tegemeana na kiwango chako cha kumjua Mungu.

UMUHIMU WA NYAKATI NGUMU KWA WATU WA MUNGU.
1. Nyakati ngumu zipo kuwatambulisha watu halisi wa Mungu.
▪︎Watu halisi wa Mungu husimama na Mungu hata katika nyakati ngumu.
▪︎Mkristo anafanana na tabia za mtende, mtende huota jangwani mahali ambapo mimea mingine haiwezi kustahimili.
▪︎Mungu akupe neema ya kustahimili wakati wa dhoruba 

2. Nyakati ngumu zipo kuwadhibitisha watu wa Mungu.
》1Korintho13:11.
▪︎When I was a child, I made use of a child's language, I had a child's feelings and a child's thoughts: now that I am a man, I have put away the things of a child.

3. Nyakati ngumu humwimalisha mtu wa Mungu
 》Daniel 3:17-18
●If our God, whose servants we are, is able to keep us safe from the burning and flaming fire, and from your hands, O King, he will keep us safe.
But if not, be certain, O King, that we will not be the servants of your gods, or give worship to the image of gold which you have put up.

NAMNA MBILI ZA KUMJUA MUNGU.
1. Oida, maana ya neno hili........
Ni kumjua Mungu kwa kukutanae binafsi, simply means Mungu ambae siye wa historia.

▪︎ Ukikutana na Mungu binafsi, maisha yako hayawezi kubaki kama yalivyokuwa hapo mwanzo. Mfano Musa, Ibrahim, Mungu alimwonekania Gideon na kumwita Jehovah, mfano mwingine anaitwa Ayubu alikutana na kumwita Mungu mwenye nguvu El-Elshadai etc.
2. Kiinosoto
Unamjua Mungu kwa kujifunza kupitia watu, kusoma 

USHAHIDI WA KUMJUA MUNGU
1. Kumpa Mungu kipaumbele kwenye maissha yao
》Ufunuo 1:10
》Wafilipi 3:7-11
●Fahari ya maisha yako iwe katika kumjua Mungu, familia yako, mume wako, watoto wawe wanamjua Mungu hiyo ndo fahari ya maisha yako.
2. Watu wanaomjua Mungu wako hodari. Unaweza kusimama hata katika nyakati ngumu.
 》1Korintho 4:1-2
Kitu kinachomtofautisha Mtu anae
3. Mtu anae mjua Mungu ni jasiri ( Uhakika na Mungu wako).
》2Thimotheo 1:12
》Ayubu 42:2
》1Samwel 17:37 maneno ya Daudi (The Lord, who kept me safe from the grip of the lion and the bear, will be my saviour from the hands of this Philistine. And Saul said to David, Go! and may the Lord be with you.)

》 Nehemia 6:11
4. Watu wanaomjua Mungu wa Amani ya ndani
 》Warumi 5:1
Watu wanaomjua Mungu, 
● Wanajua tabia za Mungu.
●Wanajua ana nguvu
●Anajua, Mungu ana Mamlaka.
●Anajua, Ahadi za Mungu ni kweli.

MATOKEO YA KUMJUA MUNGU
1. Ibada ya kweli; Ibada ya kweli inatoka kwenye chemichemi ya mtu anaemjua Mungu kwelikweli. 
》Yohana 4:22
■ Huwezi kumwabudu Mungu zaidi ya unavyomjua Mungu.
■ Kiwango cha Kumwabudu Mungu inategemeana na kiwango chako cha Kumjua Mungu.

2. Mahusiano ya Kina na Mungu : Inategemeana na kiwango chako  cha Kumjua Mungu 
● Kiwango chako cha Kumjua Mungu kitaamua kiwango chako cha mahusiano na Mungu.

3. Chanzo cha Nguvu zako. Nguvu zako zipo katika kiwango cha kumjua Mungu.
4. Kutenda mambo makuu
》 Ebrania 11:31-32
Tujifunze kwa Daniel, Meshack na Abednego ambao wamezungumzwa kuwa walikuwa na Roho ya ubora 
》 Daniel 1:1........