Tuesday, March 8, 2022

ON MY EYES

Imekuwa zaidi ya miaka 11 sasa tangu, tulipokutana kwa mara ya kwanza, mwaka 2011 pale Ranch, Kampala nchini Uganda. Akili haikuwa kubwa wala macho yangu hayakuwa na the third eye (vision) to see what is beyond the wall, lakini moyo wangu uliniambia hapo kuna mke, hapo kuna akili kubwa, hapo kuna hekima na busara kubwa, hapo kuna Mungu, hapo kuna aina ya mwanamke atakufaa kesho as you're wife...

Akili yangu na macho yangu yalikutazama kwa namna ya uzuri wa nje, nilimwona binti mrembo, binti mpole mwenye haiba na mwonekano mzuri wakuvutia sana. Haikuhitaji dakika kumi, moyo wangu kukupokea na kuweka alama ya vema kwamba wewe ni mwanamke bora katika ya wanawake wengi duniani.

Miaka kumi iliyopita nimejaribu kutazama aliye bora kuliko wewe hata sasa sijaona, wewe ni mwanamke bora, Giant, mpanaji, mtu mwenye malengo, mtu mwenye upendo, mtu ambae hakika nilienda nchi ya mbali ili kukutana na mke wa ndoto yangu....

Sarah mwaka huu mmoja na miezi kadhaa ambayo tumeishi as lovers, watu waliochagua kubond for the rest of life, hakika nimemwona mwanamke bora, mwanamke wa pekee, mwanamke mwenye upendo, mwanamke ambae anaiamini akili yake kwamba inaweza kumfanya kuwa ambavyo Mungu alikusudia kuwa....

As you celebrate this beautiful day, wife to be, sweetie, Ni maombi yangu Mungu akufanya kuwa bora zaidi ya hapa ulipo, akufanye kuwa bora zaidi ya leo....

As we are approaching to our last few months before we join together as husband and wife...I would love to share with you the following issues..

1. Endelea kumfanya Mungu wa kwanza katika kila jambo lako, tambua kuwa you're the way your because of him.

2. Unyenyekevu, utii, hekima, heshima na busara viwe mambo ya msingi kwako, maana ndio msingi wa ubora wako katika nchi uliyopewa na Mungu

3. Keep believing  on your dream and vision, Just know that God has a vision with you since he decided to create you...

4. Biblia na maombi iwe ni katiba na kiapo chako daima, maana Biblia ndio chanzo cha maarifa yako yote, na maombi ni mawasiliano thabiti na Mungu, hivyo mambo haya mawili yawe chakula na kinywaji chako cha kila siku.

5. Kumbuka kuwa miezi michache ijayo, utakuwa mke na mama wa familia yako. Dunia inasema haki sawa kwa wote, lakini Mungu hasemi hivyo bali anasema mwanamke ameumbwa na kupewa majukumu yake, na mwanaume pia, hivyo basi ishi kwenye ile misingi bora ya Kimungu hiyo ndio kanuni bora ambayo italeta ustawi na familia yenye nguvu, upendo na mshikamano...

Be humble to your husband as the Bible says, Just focus on, no matter how you will raise up, economically, position, favour and Growth remember I am woman whatever is with me it because of God not otherwise. Do your part as a mother coz I know you have decided right to accept me as your future husband, I will make sure that I stand on my position 100% 

Lastly 
I wish you a very big day, nina mengi sana yakuandika kuhusu wewe, wewe Ni Sarah ndani yako nawaona wanawake mashujaa sana ambao tayari tumeona matokeo yao makubwa, mfano namwona Oprah Wilfred ndani yako, nawaona wanawake wakubwa sana ndani yako....

Ila amini kuwa you have that ability in you, believe wewe you're a complete package 📦 hayo yote utayaona mbele yako kwa ukubwa, 

My hero, my Queen 
Haya ndio yangu kwako kwa siku ya leo
Na kazi indeed
From your best friend, husband to be
Musa Zephania Mgema